Pangilia kazi.
Weka shughuli za biashara kwenye mtiririko unaoeleweka. Angalia mifumo ya utalii, maduka, restaurants na nyingine.
Angalia →

Mifumo yenye mpangilio. Design yenye maana. Machapisho unayoshika.
Weka shughuli za biashara kwenye mtiririko unaoeleweka. Angalia mifumo ya utalii, maduka, restaurants na nyingine.
Angalia →
Website, design na mazungumzo. Saidia watu kuielewa biashara na kuchukua hatua inayofuata.
Angalia →
Kutoka stationery hadi vitabu na artwork kubwa. Yape mawazo yako uwepo unaoonekana na kushikika.
Angalia →
Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako.
Unganisha maulizo, ratiba za safari, gharama, nukuu na bookings katika mtiririko mmoja.
Panga leads, taarifa za wateja, hatua za mauzo, tasks na ripoti za timu.
Panga mauzo, risiti, stock, wateja na suppliers wa duka lako.
Unganisha orders, meza, kitchen/bar, bills, malipo na stock.
Jadili mfumo wa shule, chuo au chuo kikuu unaofuata mahitaji ya taasisi yako.
Jadili mfumo wa usimamizi wa hospitali, scope na modules kulingana na mahitaji ya kituo.
Panga taarifa za wanachama, michango na ripoti kulingana na kanuni za kikundi.
App ya kusoma na kusikiliza vitabu kidijitali, yenye reading controls na narration.
Panga reservations, availability na taarifa za wageni wa hotel, lodge au malazi.
Panga taarifa za wanachama, shughuli na utawala kulingana na mahitaji ya kanisa.
Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako.

Website za kampuni za safari, tour operators, hotels na lodges zenye taarifa za trips na njia za kuulizia.
Website za biashara, taasisi na mashirika zinazofanya kazi kwenye simu na desktop.
Kagua website, technical SEO, maudhui na ripoti ili kupanga maboresho ya search visibility.
Content planning, creative production, kampeni na ripoti kulingana na malengo ya biashara.
Mpango wa kujenga hadhira inayofaa kupitia maudhui, ushirikiano na jamii ya mtandaoni pamoja na ripoti.
Uchapishaji wa vitabu, brochures, business cards, receipt books, stationery, mabango, posters, stickers na canvas.
Brand identity, branded materials na signage kwa biashara yako.
Logos, posters, matangazo, packaging, publication layouts na artwork ya kuchapisha.
Custom mobile apps, business systems na workflows kulingana na mahitaji ya mteja.
Troubleshooting, maintenance planning na msaada wa teknolojia za biashara.
CCTV na mifumo ya usalama kwa homes na biashara, installation na support.
Technology planning, workflow review na implementation guidance.
Unganisha WhatsApp Business na CRM pamoja na workflows za mawasiliano ya wateja.
AI assistants na automation ya kazi zinazojirudia, yenye human oversight kulingana na workflow.
System installation, configuration, onboarding na practical training kwa timu.

Tuambie kilicho muhimu kwa biashara yako. Tutakusaidia kuchagua pa kuanzia.